Blog

SAMIA AIAGIZA UWT KUFANYA TATHMINI NA KUANDAA TAARIFA

 Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Taifa, Samia Suluhu Hassan ameielekeza UWT kufanya tathmini na kuandaa taarifa ya namna mwanamke alivyokombolewa kifikra,siasa ,kiuchumi pamoja na kuwaasa watafiti na waandishi wa sayansi ya historia kuandika historia ya muasisi na  shujaa wa kike wa kupigania Uhuru  katika…

MAAMUZI YA CAF YASUBIRIWA HATMA YA BIASHARA UNITED MARA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV BAADA ya Biashara United Mara kushindwa kusafiri kuelekea nchini Libya kutokana na kile kilichoelezwa kukosekana kwa vibali vya anga vya Kimataifa nchini Sudan, Sudan Kusini na kibali cha kutua Benghazi, Libya ambapo mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Al Ahly Tripoli SC utachezwa hatma ya Klabu hiyo kutoka mkoani…

TAKRIBANI WANANCHI 11,636 WAPATIWA ELIMU YA VIWANGO

Afisa Udhibiti Ubora (TBS), Bw. Stanford Matee akitoa elimu kwa wananchi jinsi ya kutambua bidhaa zilizothibitishwa ubora na umuhimu wa kusoma taarifa za mzalishaji na muda wa mwisho wa matumizi katika Gulio la Mamsera wilayani Rombo wakati wa kampeni ya elimu kwa umma. Maafisa wa TBS wakitoa elimu ya namna ya kutambua bidhaa zilizothibitishwa ubora…

DKT. TULIA ACKSON :BIBI TITI ATABAKI KATIKA HISTORIA YA NCHI

  Na Khadija Kalili , Rufiji Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa anatambua na kuthamini mchango wa  aliyekuwa  Mwenyekiti wa kwanza wa Jumuiya ya Wanawake  Tanzania (UWT) Hayati Bibi Titi Mohammed ambaye alikua  mwanachama namba 16 pia mpigania Uhuru alikua  mwanamke pekee atakayebaki katika historia ya…

VICTOR MMANYWA AAPISHWA KUWA DIWANI WA KATA YA NDEMBEZI SHINYANGA

   Katibu Msaidizi Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Magharibi, Gerald Mwaitebele (kulia) akimkabidhi Sheria ya Maadili na Kanuni za Maadili, Diwani wa Kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga Mhe. Victor Thobias Mmanywa baada ya kuapishwa leo Jumamosi Oktoba 23,2021. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Katibu Msaidizi…

WATAHINIWA 873 KATI YA 1,198 WA UTARAJALI TARAJIWA(INTERN) WAFAULU MTIHANI WA BARAZA LA MADAKTARI TANGANYIKA.

Na Englibert Kayombo – Dodoma. Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) leo limetoa taarifa ya matokeo ya mtihani wa kabla ya utarajali kwa wanafunzi waliokuwa wanatarajia kuanza mafunzo hayo kwa vitendo katika vituo vya kutolea huduma nchini. Akitoa taarifa hiyo leo Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa Baraza la Madaktari Tanganyika Prof. David Ngassapa amesema mnamo Tarehe 13…

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI KIWANDAA CHA NGOZI KILIMANJARO

*Kiwanda kilenge ubora wa kimataifa *KASHIMBA: Watanzania wanapatiwa ujuzi na wataalam wa kigeni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imewataka wawekezaji na wafanyakazi wa kiwanda cha kimataifa cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro (KLICL) kufanyakazi kwa juhudi, weledi na maarifa ili makusudio ya kuanzishwa kwa kiwanda yafikiwe. Hayo yalisemwa Oktoba 23, 2021 na…

TAARIFA YA DAWASA KUHUSU KUPUNGUA KWA UZALISHAJI MAJI MTAMBO WA RUVU CHINI

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inawataarifu wananchi na wakazi wa Bagamoyo Mkoani Pwani hadi Kigamboni Jijini Dar es salaam kuwa, kutakuwa na upungufu wa huduma ya maji kutokana na upungufu wa maji katika Mto Ruvu. Katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika leo, 23 Octoba 2021 katika makao makuu…

SERIKALI YATENGA BIL 2.2 KUNUNUA MBEGU ZA ALIZETI

Na Mwandishi Wetu Dodoma ILI kupunguza uhaba wa mafuta nchini na kuinua Sekta ya kilimo Cha Alizeti Serikali imetenga shilingi bilion 2.2 kwa ajili ya kuandaa mbegu bora za Alizeti. Hayo yamesemwa Leo Jijini hapa  na Waziri wa Kilimo Profesa Aldof Mkenda wakati akizungumza na waandishi wa Habari amesema walipanga kupata tani 5,000 lakini wamefanikiwa…

Loading…

Something went wrong. Please refresh the page and/or try again.


Follow My Blog

Get new content delivered directly to your inbox.

Design a site like this with WordPress.com
Get started